sw_mat_text_reg/14/06.txt

1 line
197 B
Plaintext

\v 6 Lakini wakati siku ya kuzaliwa Herode ilipofika binti wa Herodia alicheza katikati ya watu na kumpendeza Herode. \v 7 Katika kujibu kili aliahidi kwa kiapo kwamba atampa chochote atakachoomba.