sw_mat_text_reg/13/24.txt

1 line
312 B
Plaintext

\v 24 Yesu aliwapa mfano mwingine. Akisema, "Ufalme wa mbinguni unafananishwa na mtu aliye panda mbengu nzuri katika shamba lake \v 25 Lakini watu waliposinzia, adui wake akaja pia akapanda magugu katikati ya ngano kisha akaenda zake. \v 26 Baadaye ngano ilipoota na kutoa mazao yake, ndipo magugu yalitokea pia.