sw_mat_text_reg/13/20.txt

1 line
233 B
Plaintext

\v 20 Yeye aliyepandwa katika miamba ni yule asikiaye neno na kulipokea haraka kwa furaha. \v 21 Bado hana mizizi ndani yake, ila huvumilia kwa kitambo kifupi. Wakati matatizo au mateso yanapotokea kwa sababu ya neno hujikwaa ghafla.