\v 5 Bado hamjasoma katika sheria, kwamba katika siku ya Sabato Makuhani ndani ya hekalu huinajisi Sabato, lakini hawana hatia? \v 6 Lakini nasema kwenu kuwa aliye mkuu kuliko hekalu yuko hapa.