sw_mat_text_reg/10/08.txt

1 line
281 B
Plaintext

\v 8 Ponyeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma na fukuzeni pepo. Mmepokea bure, toeni bure. \v 9 Msichue dhahabu, almasi au shaba kwenye pochi zenu. \v 10 Usichukue mkoba katika safari yenu, au nguo za ziada, viatu au fimbo, kwa kuwa mfanyakazi anastahili chakula chake.