sw_mat_text_reg/09/29.txt

1 line
307 B
Plaintext

\v 29 Ndipo Yesu akagusa macho yao na kusema "Na ifanyike hivyo kwenu kama imani yenu ilivyo" \v 30 Na macho yao yakafumbuka. Ndipo Yesu akasisitiza akawaamuru na kusema "Angalieni mtu yeyote asifahamu kuhusu jambo hili." \v 31 Lakini watu hawa wawili wakaondoka na kutangaza habari hizi sehemu zote za mji.