sw_mat_text_reg/09/27.txt

1 line
312 B
Plaintext

\v 27 Ndipo Yesu alipokuwa akipita kutoka pale, wanaume wawili vipofu wakamfuata. Waliendelea kupaza sauti wakisema, "Tunaomba uturehemu, Mwana wa Daudi." \v 28 Pindi Yesu apokuwa amefika kwenye nyumba, wale vipofu wakaja kwake. Yesu akawaambia, "Mnaamini kwamba ninaweza kutenda?" Nao wakamwambia "Ndiyo, Bwana"