\v 25 Na wale watu walipotolewa nje, naye akaingia chumbani na kumshika mkono na msichana akaamka. \v 26 Na habari hizi zikaenea katika mji mzima.