sw_mat_text_reg/09/14.txt

1 line
332 B
Plaintext

\v 14 Ndipo wanafunzi wa Yohana wakaja kwake na kusema, "Kwa nini sisi na mafarisayo tunafunga, lakini wanafunzi wako hawafungi?" \v 15 Yesu akawaambia, Je wasindikizaji wa arusi wanaweza kuwa na huzuni pindi Bwana arusi anapokuwa pamoja nao? Lakini siku zinakuja ambapo Bwana arusi atachukuliwa kutoka kwao, na ndipo watakapofunga.