1 line
295 B
Plaintext
1 line
295 B
Plaintext
\v 1 Katika siku zile Yohana Mbatizaji alikuja akihubiri katika nyika ya Yuda akisema, \v 2 "Tubuni kwa maana ufalme wa mbinguni u karibu." \v 3 Kwa maana huyu ndiye aliyenenwa na nabii Isaya akisema, "sauti ya mtu aitaye kutoka jangwani; 'wekeni tayari njia ya Bwana, yanyoosheni mapito yake."' |