\v 6 Wao hupendelea kukaa maeneo ya kifahari katika sherehe na katika viti vya heshima ndani ya masinagogi, \v 7 na kusalimiwa kwa heshima maeneo ya sokoni, na kuitwa "Walimu" na watu.