\v 5 Sasa wakati bwana harusi amechelewa kufika, wote walishikwa usingizi na wakalala. \v 6 Lakini wakati wa usiku wa manane kulikuwa na yowe, 'Tazama, bwana harusi! Tokeni nje mkampokee.'