\v 39 Na ya pili inafanana na hiyo- Ni lazima kumpenda jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe. \v 40 Sheria zote na Manabii hutegemea amri hizi mbili."