\v 21 Tena Petro akaja na kumwambia Yesu, "Bwana, ni mara ngapi ndugu yangu akinikosea nami nimsamehe? Hata mara saba?" \v 22 Yesu akamwambia, "Sikuambii mara saba, lakini hata sabini mara saba.