\v 8 Baada ya kushauriwa na mama yake, alisema, "Nipe mimi hapa katika kombe kichwa cha Yohana Mbatizaji." \v 9 Mfalme alikuwa na sikitiko kwa maombi ya binti, lakini kwa ajili ya kiapo chake, kwa sababu ya wote waliokuwa chakulani pamoja naye aliamuru kwamba inapaswa ifanyike.