\v 1 Kwa wakati huo, Herode alisikia habari juu ya Yesu.. \v 2 Akawaambia watumishi wake, "Huyu ni Yohana Mbatizaji amefufuka kutoka katika wafu. Kwa hiyo nguvu hizi zipo juu yake."