\v 37 Naye akawaambia wanafunzi wake. "Mavuno ni mengi, lakini wafanya kazi ni wachache. \v 38 Hivyo basi upesi mwombeni Bwana wa mavuno, ili kwamba atume wafanya kazi katika mavuno yake."