sw_luk_text_ulb/08/40.txt

1 line
421 B
Plaintext

\v 40 Na Yesu akarudi, makutano wakamkaribisha, kwa sababu wote walikuwa wanamngoja. \v 41 Tazama akaja mtu mmoja anaitwa Yairo ni mmoja kati ya viongozi katika sinagogi. Yairo akaanguka miguuni pa Yesu na kumsihi aende nyumbani kwake, \v 42 kwa sababu alikuwa na mtoto msichana mmoja tu, mwenye umri wa miaka kumi na wibili, na alikuwa katika hali ya kufa. Na alipokuwa akienda, makutano walikuwa wakisongama dhidi yake.