\v 24 baadaye wanafunzi wake wakaja kwake na kumwamsha, wakisema, "Bwana mkubwa! Bwana mkubwa! tuko karibu kufa!" Akaamka na akaukemea upepo na mawimbi ya maji vikatulia na kukawa na utulivu. \v 25 Tena akawaambia, "Imani yenu iko wapi?" Wakaogopa, Walishangaa, wakasemezana kia mmoja na mwenzake,"Huyu ni nani, kiasi kwamba anaamuru hata upepo, na maji na humtii?"