sw_act_text_ulb/23/31.txt

1 line
303 B
Plaintext

\v 31 Basi wale askari wakatii amri: wakamchukua Paulo wakampeleka hata Antipatri usiku. \v 32 Siku iliyofuata, maaskari wengi wakawaacha wale wapanda farasi waende pamoja naye, nao wakarudi zao ngomeni. \v 33 Na wapanda farasi walipofika Kaisaria, na kumpa liwali ile barua, wakamweka Paulo mbele yake.