sw_act_text_ulb/17/32.txt

1 line
337 B
Plaintext

\v 32 Na watu wa Athene waliposikia habari ya kufufuliwa kwa wafu, baadhi yao wakamdhihaki Paulo, ila wengine wakasema "Tutakusikiliza tena kwa habari ya jambo hili" \v 33 Baada ya hapo, Paulo akawaacha. \v 34 Lakini baadhi ya watu waliungana naye wakaamini, akiwemo Dionisio Mwareopago, na Mwanamke anaitwa Damari na wengine pamoja nao.