\v 28 Waliposikia haya, walijawa na hasira na wakapiga kelele, wakisema, "Diana wa Waefeso ni mkuu." \v 29 Mji wote ukajaa ghasia, na watu wakakimbia pamoja ndani ya ukumbi wa michezo. wakawakamata wasafiri wenzake na Paulo, Gayo na Aristariko, waliotoka Makedonia.