sw_1pe_text_ulb/01/24.txt

1 line
212 B
Plaintext

\v 24 Kwa maana " miili yote ni kama majani, na utukufu wake wote ni kama ua la jani. Jani hunyauka, na ua hudondoka, \v 25 lakini neno la Bwana hubakia milele." Huu ni ujumbe ambao ulitangazwa kama injili kwenu.