sw_1pe_text_ulb/01/15.txt

1 line
317 B
Plaintext

\v 15 Lakini kama vile aliyewaita alivyo mtakatifu, nanyi, pia, muwe watakatifu katika tabia yenu yote maishani. \v 16 Kwa kuwa imeandkwa, "Iweni watakatifu, kwa sababu Mimi ni mtakatifu." \v 17 Na kama mkiita "Baba" yule ahukumuye kwa haki kulingana na kazi ya kila mtu, tumia muda wa safari yako katika unyenyekevu.