sw_1pe_text_ulb/01/08.txt

1 line
329 B
Plaintext

\v 8 Hamjamuona yeye, lakini mnampenda. Hamumuoni sasa, lakini mnaamini katika yeye na mna furaha isiyoweza kuelezeka kwa furaha ambayo imejawa na utukufu. \v 9 Sasa mnapokea wenyewe matokeo ya imani yenu, wokovu wa nafsi zenu. \v 10 Manabii walitafuta na kuuliza kwa umakini kuhusu wokovu huu, kuhusu neema ambayo ingekuwa yenu.