sw_1pe_text_ulb/05/10.txt

1 line
209 B
Plaintext

\v 10 Baada ya kuteseka kwa muda kitambo, Mungu wa neema yote, aliyewaita katika utukufu wa milele ndani ya Kristo, atawakamilisha, atawaimarisha na kuwatia nguvu. \v 11 Enzi iwe kwake milele na milele. Amina.