sw_1pe_text_ulb/05/05.txt

1 line
354 B
Plaintext

\v 5 Vilevile, nanyi vijana wadogo, nyenyekeni kwa wakubwa wenu. Ninyi nyote, uvaeni unyenyekevu na kuhudumiana ninyi kwa ninyi, kwani Mungu huwapinga wenye kiburi, lakini huwapa neema wanyenyekevu. \v 6 Kwa hiyo nyenyekeni chini ya mkono wa Mungu uliyo hodari ili kwamba awainue kwa wakati wake. \v 7 Mwekeeni fadhaa zenu juu yake, kwa sababu anawajali.