sw_1pe_text_ulb/04/07.txt

1 line
301 B
Plaintext

\v 7 Mwisho wa mambo yote unakuja. Kwa hiyo, mwe na ufahamu ulio sahihi, na iweni na nia njema kwa ajili ya maombi yenu. \v 8 Kabla ya mambo yote, eweni na bidii katika upendo kwa kila mmoja, kwa kuwa upendo hautafuti kufunua dhambi za wengine. \v 9 Onyesheni ukarimu kwa kila mmoja bila kunung'unika.