sw_1pe_text_ulb/03/10.txt

1 line
339 B
Plaintext

\v 10 "Yeye atakaye kupenda maisha na kuona siku njema lazima auzuie ulimi wake kwa mabaya na midomo yake kusema hila. \v 11 Na ageuke na kuacha mabaya na kufanya yaliyo mazuri. Atafute amani na kuifuata. \v 12 Macho ya Bwana humwona mwenye haki na masikio yake husikia maombi yake. Lakini uso wa Bwana uko kinyume cha wale watendao uovu."