sw_1pe_text_ulb/03/01.txt

1 line
261 B
Plaintext

\v 1 Kwa njia hii, ninyi ambao ni wake mnapaswa kujitoa kwa waume zenu wenyewe, ili, hata kama baadhi yao hawajalitii neno, kupitia tabia za wake zao wanaweza kuvutwa pasipo neno, \v 2 kwa sababu wao wenyewe watakuwa wameiona tabia yenu njema pamoja na heshima.