sw_1pe_text_ulb/02/21.txt

1 line
335 B
Plaintext

\v 21 Kwa hili mliitwa, kwa sababu Kristo pia aliteswa kwa ajili yenu, amewaachia mfano kwa ajili yenu kufuata nyayo zake. \v 22 Yeye hakufanya dhambi, wala haukuonekana udanganyifu wowote kinywani mwake. \v 23 Wakati yeye alipotukanwa, hakurudisha matukano, alipoteseka, hakutisha bali alijitoa mwenyewe kwake Yeye ahukumuye kwa haki.