sw_1pe_text_ulb/02/07.txt

1 line
257 B
Plaintext

\v 7 Hivyo heshima ni yenu kwenu ninyi mnaoamini. Lakini, "jiwe lililokataliwa na wajenzi, hili limekuwa jiwe kuu la pembeni"- \v 8 na, "jiwe la kujikwaa na mwamba wa kujikwaa."Wao hujikwaa, wanaolikataa neno, kwa lile ambalo pia walikuwa wameteuliwa kwalo.