sw_1pe_text_ulb/02/01.txt

1 line
217 B
Plaintext

\v 1 Kwa hiyo wekeni pembeni uovu wote, udanganyifu, unafiki, wivu na kashifa. \v 2 Kama watoto wachanga, mtamani maziwa safi ya kiroho, ili kwamba mweze kukua ndani ya wokovu, \v 3 kama mmeonja kwamba Bwana ni mwema.