\v 13 Ni nani atakayewadhuru ninyi, ikiwa mwatamani lililo zuri? \v 14 Lakini kama mkiteseka kwa haki, mmebarikiwa. Msiogope yale ambayo wao wanayaogopa. Msiwe na wasiwasi.