swc_luk_text_reg_Uncomplete/01/36.txt

1 line
336 B
Plaintext

\v 36 Nautazame Elizabeti na ye alipata mimba ya mtoto mwana ume mubuze bwake, na eko na mimba ya miezi sita; yeye barianza kucheka kama ashi zalake (tasa). \v 37 «Hakuna kile kiko nguvu kwa Mungu». \v 38 Maria akasema : Tazama mimi ni mutumishi mwana muke wa Bwana. «Na ifwanike kwangu sawa vile bana isema !» Na malaika arimwacha.