swc_luk_text_reg_Uncomplete/20/34.txt

1 line
233 B
Plaintext

\v 34 Yesu akabaambia, Batoto ya dunia hivi banaoa na kuolewa. \v 35 Kakini hakuna kuoa wala kuolewa kwa benye balipata ufufuko ya milele. \v 36 Wala habatakufa tena, ju batakuwa sawa sawa na bamalaika, na bata kuwa batoto ya ufufuo.