\v 33 Siku ya ufufuka atakuwa bibi ya nani? sababu bote balikuwa babwana yake. \v 34 Yesu akabaambia, Batoto ya dunia hivi banaoa na kuolewa.