swc_luk_text_reg_Uncomplete/20/25.txt

1 line
211 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 25 Nayeye akabaambia, Basi bumupe Kaizari yake, na Mungu bia kwake. \v 26 Baandishi na bakubwa yabakuhani balikosa uwezo ya kukosoa enye alisema mbele ya batu. Bashangala na jibu yake, na habu sema tina kitu.