\v 19 Hao ambao ni waovu watainama mbele yao walio wema na wale wenye uovu watasujudu kwenye malango ya wenye haki. \v 20 Mtu masikini huchukiwa hata na marafiki zake, bali watu matajiri wanamarafiki wengi.