\v 28 Matumaini ya wale watendao haki ndiyo furaha yao, bali miaka ya waovu itakuwa mifupi. \v 29 Njia ya Yehova huwalinda wale wenye uadilifu, bali kwa waovu ni uhalibifu. \v 30 Wale watendao haki hawataondolewa, bali waovu hawatabaki katika nchi.