sw_pro_text_reg/31/10.txt

1 line
204 B
Plaintext

\v 10 Mke hodari ni nani anaweza kumpata? Thamani yake ni zaidi kuliko vito. \v 11 Moyo wa mume wake humwamini, na hatakuwa masikini. \v 12 Humtendea mambo mema na wala si mabaya siku zote za maisha yake.