\v 6 Wape kileo kikali watu wanaopotea na mvinyo kwa wale wenye kutaabika kwa uchungu. \v 7 Atakunywa na kusahau umasikini wake na hataikumbuka taabu yake.