\v 1 Anayependa mafundisho hupenda maarifa, bali yule anayechukia maonyo ni mpumbavu. \v 2 Yehova humpa fadhila mtu mwema, bali mtu ambaye hufanya mipango ya ufisada atahukumiwa.