\v 13 Hicho ni kizazi- jinsi gani macho yao yanakiburi na kope zao zimeinuka juu! - \v 14 kuna kizazi ambacho meno yao ni upanga, na mifupa ya taya zao ni visu, ili waweze kumrarua masikini wamtoe duniani na mhitaji atoke miongoni mwa wanadamu.