sw_pro_text_reg/23/01.txt

1 line
204 B
Plaintext

\v 1 Unapoketi kula pamoja na mtawala, angalia kwa uangalifu kilichopo mbele yako, \v 2 na kama ni mtu unayependa kula chakula sana weka kisu kooni. \v 3 Usitamani vinono vyake maana ni chakula cha uongo.