1 line
289 B
Plaintext
1 line
289 B
Plaintext
\v 24 Yule ambaye huwachukia wengine huficha hisia zake kwa midomo na hufunika uongo ndani yake mwenyewe. \v 25 Ataongea kwa huruma, lakini usimwamini, maana kuna machukizo saba kwenye moyo wake. \v 26 Ingawa chuki zake zimefunikwa kwa udanganyifu, uovu wake utakuwa wazi katika kusanyiko. |