\v 13 Anayejibu kabla ya kusikiliza- ni upuuzi na aibu yake. \v 14 Roho ya mtu itajinusuru na madhara, bali roho iliyopondeka nani anaweza kuivumilia?