\v 13 Mtu mvivu husema " Kuna simba kwenye barabara! Kuna simba katikati ya njia kuu!" \v 14 Kama mlango unavyogeuka kwenye bawaba zake, ndivyo alivyo mtu mvivu kwenye kitanda chake.