\v 13 Usizuie kuadilisha mtoto, maana ukimchapa kwa fimbo, hatakufa. \v 14 Ni wewe unayepaswa kumchapa kwa fimbo na kuiokoa nafsi yake kuzimu.