\v 16 Nimeweka matandiko juu ya kitanda changu, kitani za rangi kutoka Misri. \v 17 Kitanda changu nimenyunyizia manemane, udi na mdalasini. \v 18 Njoo, tunywe tujishibishe kwa upendo wetu hata asubuhi; tupate furaha kuu kwa matendo ya mahaba.